kubwa jinga jr
JF-Expert Member
- Mar 19, 2017
- 292
- 309
Amani iwe juu yenu wana bodi
Waungwana nimeamua kutangaza kuuza kiwanja changu mkuranga kwa bei poa kwa yeyote anaehitaji awasiliane nami kubwa jinga jr,
Kwa yeyote tutakae wasiliana mapema naweza kumpunguzia bei au hata kwa mkopo tutalipana kidogo kidogo,
Kiwanja ni kikubwa na kipo eneo zuri jaribu mpakani karibu na lilipotokea tukio nimeamua ,kuuza hicho kiwanja kwa kutokana na mikiki mikiki ya bunduki na risasi sijazoea kwa upande wangu mimi hii sehemu sio salama tena,harakati zangu za kichama zitaniwia ugumu kufanyika kama mnavyonijua mimi ni mwana wa lumumba,na mihangaiko yangu mpaka saa mbili usiku na huku boda boda mwisho saa kumi na mbili jioni.
Ni rahisi kufika usafiri wa boda boda upo.
Madalali siwataki
Asanteni