socket
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 305
- 433
Habari wana JF.
Naamini huku nitapata msaada kwa haraka kidogo..nina ujenzi unaohitaji I-Beam na angle line zitakazotumia bolt kuunganisha na sio kuchomelea na structure ni kama mnara wa mawasiliano ya simu sasa nahitaji kujua suppler walioko Tanzania.
Ahsanteni