Binti wa kazi anahitajika

Sir £mmanyo

Member
Dec 25, 2012
23
9
Natafuta binti wa kazi za nyumbani, majukumu ni kulea mtoto na kufanya kazi za kawaida za nyumbani.
umri kuanzia miaka 18 mpaka 23 lakini hata chini ya huo umri pia nitampokea . Awe tayari kufanya kazi mkoa wowote hapa Tz (mjini au kijijini) mshahara ni mzuri na nimaelewano pia.
mawasiliano yangu ni 0756948112
 
Natafuta binti wa kazi za nyumbani, majukumu ni kulea mtoto na kufanya kazi za kawaida za nyumbani.
umri kuanzia miaka 13 mpaka 18. awe tayari kufanya kazi mkoa wowote hapa Tz (mjini au kijijini) mshahara ni mzuri na nimaelewano pia.
mawasiliano yangu ni 0756948112
Kwa mujibu wa sheria 13-18 huyu ni mwanafunzi anatakiwa awe shule.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom