Habari wadau kuna kiwanja kinauzwa bahari beach budget kina ukubwa wa square metres 4692 cha pili kutoka barabara ya lami kinafaa kwa kujenga apartment na kadhalika bei mil 400 maongezi yako picha...
Wakuu nahitaji katani ,kwa wanaodeal na issue hiyo wanione PM tuongee biashara.
Kama una information yoyote tafadhali niambie,kilo ya katani ni bei gani,robota moja ina kilo ngapi,container moja...
Make : Toyota
Model : Landcruiser
Mileage : 5,710km
Engine size: 4,600cc
Gasoline : Petrol
Steering : Right Hand Drive ( R. H. D. )
Transmission : Automatic
Drive : 4WD (FOUR WHEELS DRIVE)...
Kipo Madale (Kinondoni Dar) kina ukubwa wa Meter 20x22 kinafikika kirahisi kwa gari na umeme umefika. Mimi mwenyewe ndiyo mmiliki ila sijakikatia hati bado. Bei Shiling milioni sita na laki saba...
NUNUA SMARTPHONES MPYA NA ORIJINO KWA BEI RAHISI KUPITIA SMARTPHONES TANZANIA – Original Smartphones at lower prices
WEKA ODA YAKO NA UTALETEWA POPOTE ULIPO DAR ES SALAAM PIA MIKOANI TUNASAFIRISHA
Viwanja vinauzwa Chanika ukubwa futi 45 kwa 42 bei milioni moja na laki tano pia mashamba yapo bei kuanzia milioni kumi vilevile kuna nyumba zinauzwa kuna ya milioni kumi na sita,milioni kumi...
Wakuu,
Ninatafuta mtaalamu anayeweza kutengeneza / renovate nyumba moja Dar es salaam na nyingine Mwanza. Nyumba ya Dar es salaam ni ya vyumba viene ipo mikocheni na nataka itengelezwe kwa...
Nyumba hii ni ya nyumba 4 viwili master bed rooms na viwili vya kawaida. ina choo cha public, sebule, jiko na store. pia iko kwenye kiwanja kikubwa kama mnavojua viwanja vya mwanagati sio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.