Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari zenu??nauza simu ya tochi used haina ufa elfu 35 ina camera ni halotel,kama upo tayari ni pm. pia nauza screen touch ni itel used elfu 50 kama upo tayari ni pm.
3 Reactions
68 Replies
7K Views
Kwa masaa machache bitcoin cash imepanda kwa asilimia zaidi ya 40%. Kwa wale wanainvest kwenye cryptocurrencies, Christmas has come early for them!!
1 Reactions
1 Replies
859 Views
Naombeni msaada wa mawazo kwa cmnzuri kwa budjet ya 250000 ,yenye ubora ,uimara na camera nzuri.
0 Reactions
45 Replies
6K Views
Kama kichwa cha habari kilivyo jieleza naomba kujua bei ya mashine kubwa kwaajili ya kufyatulia matofali ya cement.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Tunanunua asali kwa bei ya jumla sisi ni wanunuzi tunaonunua asali kwa bei nzuri sana kuliko wengine wote tanzania. Kwa sasa tunanunua kuanzia lita ishirini mpaka lita mia moja kwa mkupuo vijana...
1 Reactions
4 Replies
11K Views
Ninahitaji Terious kid cc 650 Number D itapendeza. Kama unayo na unaiuza naomba unichek PM.
0 Reactions
1 Replies
747 Views
Bei 350000
0 Reactions
1 Replies
813 Views
Tafadhali husika na kichwa cha habar hapo juu
0 Reactions
2 Replies
989 Views
Huku Chanika Omboza, Kidugalo na Singiziwa jirani na hospitali mashamba yanauzwa kuanzia mil.4 mpaka 13 kuna umeme na barabara zinapitika. Pia nyumba inauzwa mil.9 Nipigie.0768412181/0655412181
0 Reactions
8 Replies
3K Views
people where will I find these equipments for body exercises, If u got an Idea where to find them plz comment below
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Hello habari zenu, Naitwa zamzam dachi naishi mtoni kwa azizi (TEMEKE) ni mjasiliamali wa kudising sandoz za culture NAPATKANA KWA NAMBA YA SIMU 0719 818147/0687365045 Fursa fursa fursa...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Nauza vifaa vifuatavyo vya laptop 1.Hard disk 160GB sata,Tsh 25000/= 2.Adapter ya laptop aina ya DELL,Tsh 20000/= 3.Ram 1GB DDR2,Tsh 15000/= 4.Betri la laptop aina ya DELL inakaa na chaji kwa...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Unahitaji kufundishwa masomo tajwa hapo juu kama form Six/four reseater, or private candidate. Location; kigamboni au around kigamboni Njoo ukae meza moja na mwalimu upate usaidizi wa ziada.
0 Reactions
2 Replies
938 Views
Chombo cha muziki tajwa hapo juu kinahitajika.( guitar)
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Mambo vp bandugu kwa wale wanaopenda kutumia mb kupata hela online follow link hii kisha nenda sehemu ya registration then jisajili na uanze kucheza na kufata maelekezo ni rahisi unatumia mb tu na...
0 Reactions
3 Replies
834 Views
Samsung Galaxy S4 New condition GB 32 With 4G Bei 280,000 Phone with charger Serious buyer 0654766056
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nyumba inauzwa ipo mbagara charambe,ina vyumba vitatu vya kulala pamoja na sebule dining na jiko.iko ndani ya fence.bei millioni arobaini na mbili tu.
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Hii ni maalum kwa anae hitaji milango ya nyumba hasa kwa dar es salaam, weka order yako mlango mmoja tsh 450k pia bei hutofautiana kulingana na size ya mlango wenyewe na aina ya mbao mfano...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Wakuu natafuta eneo maeneo ya Ngongongale Arusha kule karibu na chuo cha UOA.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Unahitaji Ramani ya Nyumba yeyote ile kwa Gharama Nafuu? Basi Suluhisho Lipo, tunadesign Ramani Bora Official Kwa Gharama Nafuu Kabisa! Tunachora kwa AutoCAD na ArchCad. Ramani yako itakuwa na...
1 Reactions
0 Replies
582 Views
Back
Top Bottom