Tv kama hii niinunue mtandaoni au dukani bei gani?

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,581
4,628
Habari wakuu
Hii tv nimeiona mtandaoni
f2ff5db4262a2faa4d3cb4be4d8af903.jpg

inauzwa bei rahis sana
Ni mtandao wa alibaba
Jee dukani huku bongo ni sh ngp?
Nikiiagiza mtandaoni nitakatwa kodi?
 
Habari wakuu
Hii tv nimeiona mtandaoni
f2ff5db4262a2faa4d3cb4be4d8af903.jpg

inauzwa bei rahis sana
Ni mtandao wa alibaba
Jee dukani huku bongo ni sh ngp?
Nikiiagiza mtandaoni nitakatwa kodi?
Alibaba ni wauzaji wa jumla mkuu, yan kuanzia idadi fulani huchukua kwa bei ulioona (min oder) kwahiyo kama ni TV min oder kuanzia 5 au 10 zidisha kwa hiyo hela then angalia na issue za kuship,.....
Either nenda Ali express kama unataka piece moja!!!
Kila la kheri!!!
 
Nimeiuta alibaba mkuu kwa minimum order yake ni piece 1
 
Back
Top Bottom