Wakuu habari, ningependa kufahamishwa sehemu ambapo hizi packages (cups) za juice na hiyo ya hot chocolate zinapatikana
ikiwezekana na bei zake
N.B: (zilizo tupu kwa ajili ya biashara /brand...
Tupate kwa Whatsapp no: +255768829357, Email: frankmartha955@gmal.com na instagram DM e_graphicstz, gharama ya huduma zetu ni affordable kwa kila mtanzania wa kawaida.
Mfano wa kazi zetu:
Nahitaji mwenye nayo au kujua wapi nitaweza kupata housing original ya nokia c2-01.
Nimehangaika bila mafanikio. Nikiweka hizi za kichina za elfu 3 button zinakataa kabisa kupiga kazi.
Shukrani zangu!
Inafaa kwa matumizi ya photography na videography ktk mazingira tofauti tofauti.
Features;
1.black, useful kublock unwanted light towards your subject
2.white, useful to add brightness to your...
Nipo Dodoma ninauza vitambaa vya kufuma kwa bei poa jumla na rejareja..
N.B Natengeneza mwenyewe hivyo tukiongea unaweza kuletewa kwa bei poa kulingana na makubaliano pia unaweza kuweka order ya...
Kama ni mfanyabiashara au mnunuzi umekuwa ukisunbuka sana kujua thamani ya sarafu fulani, huenda ikawa umeona bidhaa online kwa bei ya nchi fulani lakini hujui thamani yake kwa dola au shilingi...
Kwa nini choo kinuke wakati suluhisho lipo Jipatie manukato ya choo yenye harufu nzuri ya kuvutia product ya south africa.
Baada ya kusafisha choo chako kausha maji kisha mimina manukato haya...
Habari za wakati huu wadau!, kama Topic inavyojieleza Natafuta tenda ya kusambaza samaki aina zote kwenye Mahotel, migahawa, shule na madukani.
AINA YA SAMAKI: Sato , Sangara, vibua, kamongo...
Natafuta shamba kwajili ya kilimo cha vitunguu, viazi au mpunga morogoro ila sio la kununua ni kukodi kama kuna mtu anaweza nisaidia nitashukuru!![emoji120]
Naombeni. Kujua na kuuliza. IPI ni window bora kwa PC ya Duo2 pia RAM 2GB
Swali LA pili. No hatua zipi za kufata wakat wa kushusha window 8 kuweka window 10 msaada jaman
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.