Shamba lenye Miti pamoja na Ardhi linauzwa

Shamba lenye Miti pamoja na Ardhi linauzwa

Joined
Sep 15, 2016
Posts
16
Reaction score
17
IMG_20171106_133904.jpg
17e5b0a640a5675ce21b4485c160f924.jpg
ni Miti kwa ajili ya mbao ,mirunda na nguzo za umeme
Miti ina miaka 4
Bei ni 1200000 kila eka
Zipo eka 20
Shamba lipo kijiji cha lyalalo halimashauri ya Njombe ktk mkoa Wa Njombe
Kwa mawasiliano nipigie 0764426929 au 0655726929
 
Weka heading vizuri.
Una maana gani unaposema shamba lenye miti pamoja na ardhi?
Ina maana kuna shamba lisilokuwa na ardhi au?
 
Back
Top Bottom