mimi naitumia hii hapa ,haina haja ya kuchuja ,inasaga mara moja kila kitu kinakuwa uji. kama ni tango au embe au karoti ukiosha vizuri unasaga na maganda yake pia inaokoa muda maana unakunywa huko huko unatoa mashine unaweka mfuniko.ina vijagi vya ziada pia .dar kariakoo ni elf 75,village supermarket niliona hyo hyo laki moja na ishirini.
![]()
SIJUI MKUUThax...hakuna sehem ambayo unajua naweza kupata kwa huku mwanza..?
mimi naitumia hii hapa ,haina haja ya kuchuja ,inasaga mara moja kila kitu kinakuwa uji. kama ni tango au embe au karoti ukiosha vizuri unasaga na maganda yake pia inaokoa muda maana unakunywa huko huko unatoa mashine unaweka mfuniko.ina vijagi vya ziada pia .dar kariakoo ni elf 75,village supermarket niliona hyo hyo laki moja na ishirini.
![]()
yap ni nzuri balaa.kama mwanamke unaejipenda hii kitu isikosekane jikoni kwako plsohh inakuwa km smoothies !nimeipenda
yap ni nzuri balaa.kama mwanamke unaejipenda hii kitu isikosekane jikoni kwako pls
ukienda kariakoo pale sokoni kwenye bus za tegeta .mimi nilinunua pale mwezi wa sita elf 55.juzi rafiki yangu kaenda ni elf 75.supermarket nimecheki tena jana ni 120 .nishaisave ! napenda mno haya makitu aiseee! jiko,mashuka,vyombo!;lol
mimi sijapata jiko aisee .yaani nina hamu na jiko kali nipo radhi hata kuuza papuchinishaisave ! napenda mno haya makitu aiseee! jiko,mashuka,vyombo!;lol
ukienda kariakoo pale sokoni kwenye bus za tegeta .mimi nilinunua pale mwezi wa sita elf 55.juzi rafiki yangu kaenda ni elf 75.supermarket nimecheki tena jana ni 120 .
mimi sijapata jiko aisee .yaani nina hamu na jiko kali nipo radhi hata kuuza papuchi
Mmeongea Mengi me nimeishia kuona neno papuchi!ukifikiria kuuza unijuze ni jumla ama rejareja nikuungishe!mimi sijapata jiko aisee .yaani nina hamu na jiko kali nipo radhi hata kuuza papuchi
Mmeongea Mengi me nimeishia kuona neno papuchi!ukifikiria kuuza unijuze ni jumla ama rejareja nikuungishe!
hongera sana ila mbona kote linatumia gesi? ungechukua la plate moja ya umeme at least for emergency bna.ila zuuri .
Hahahaaa mwanamke jiko, ila utapata tu kwa njia halalimimi sijapata jiko aisee .yaani nina hamu na jiko kali nipo radhi hata kuuza papuchi
Hahahaaa mwanamke jiko, ila utapata tu kwa njia halali
hahahaha yaan wewe umenasa neno punan tu !hahaha haya Miss Natafuta ushampata wa kukunnulia jiko 7400000/ paap! asante sana wewe kaka kwa kuona kilio cha mwanamke mwenzangu
nifanyieni hata kitchen party mwenzenu mniletee jikoMmeongea Mengi me nimeishia kuona neno papuchi!ukifikiria kuuza unijuze ni jumla ama rejareja nikuungishe!
Hahahahaa tupo kwenye mchakato miss, kitchen party muhimunifanyieni hata kitchen party mwenzenu mniletee jiko
nasubiri mwenzanguHahahahaa tupo kwenye mchakato miss, kitchen party muhimu
Linauzwa bei gani jko lako kwenye picha hapo juu?hahahaha yaan wewe umenasa neno punan tu !hahaha haya Miss Natafuta ushampata wa kukunnulia jiko 7400000/ paap! asante sana wewe kaka kwa kuona kilio cha mwanamke mwenzangu