Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Kwa mahitaji ya workstation Desk karibu Autoguru Workshop Tunapatikana Kinondoni Manyanya mtaa wa Brazil Wahi uweke order yako sasa na upendezeshe ofisi yako Tuwasiliane kwa 0688767668/0715967107
0 Reactions
0 Replies
709 Views
Kiwanda kipya cha kusaga na kukoboa nafaka kilichopo Mbezi Luis DSM kinakodishwa. Kiwanda hiki kina machine za kusaga, kukoboa, na kupeta mahindi. Pia kina machine ya kushona mifuko/viroba. Kina...
2 Reactions
7 Replies
4K Views
Hello JF natafuta application ya kufanya record keeping especially financial record keeping. Mfano kama mkulima aweze kurecord data zake za kilas iku zinazohusia na na kilimo chake meaning mapato...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Wenye kuhtaji bidhaa mbali mbali za kitamaduni na asili kama bakuri,sahani,vikombe vilitengenezwa kwa mazao asili ya miti ya kitanzania karibuni sana hapo chini ni mfano wa bakuri wenye kuzihtaji...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Naombeni msaada wa kujua kampuni za nje ya nchi zinazouza magari manual-yaliyotumika (used). Natanguliza shukrani zangu kwenu nyote.
0 Reactions
5 Replies
964 Views
We are new assist company in tanzania for apply security register/ contact as in our websites which is willliam's family Organazation
0 Reactions
0 Replies
580 Views
Wapendwa kwa anaye uza mabati yaliyo kwisha tumika tafadhali anitafute haraka 0759547047
0 Reactions
4 Replies
727 Views
Wanajamii wenzangu natafuta gari ndogo ya kununua aina ya Passo au Suzuki Camy yaani gari isiyozidi cc 950.kama kuna mwenye nayo ani pm
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Tired of Chinese products? Looking for quality stone coated metal roofing tiles? DM me ASAP. Serious people only! DIFFERENT STYLES DIFFERENT COLOURS
0 Reactions
0 Replies
699 Views
Rejea kichwa cha habari hapo juuu nahitaji laini ya uwakala wa mpesa iliyofit kalikiti kwenye matumizi nipo Dar ubungo plz fanya fasta fasta tupige buzness 0712046405
1 Reactions
3 Replies
595 Views
Jipatie Simu Mpya za Huawei Y6 pro kwa Tsh. 160,000/= Huawei Y6II kwa Tsh 420,000/= Samsung J3 kwa Tsh 320,000/= Power bank kwa Tsh 50,000/= Nokia 520 kwa Tsh100,000/= WIFI E5878 kwa Tsh...
0 Reactions
22 Replies
7K Views
Nauza Tecno W3 nipo Tabata Kimanga Bei 100,000 laki moja, haijatumika sana, mawasiliano 0656119263
0 Reactions
3 Replies
659 Views
Hellow wapendwa! Kwa furaha kubwa napenda kuandika makala hii kwa kifupi kuwajuza kuwa kampuni yetu toka nchini Uphilipino imeguswa na ukosefu wa Ajira/kuwa na kipato kisichokidhi mahitaji kwa...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari wana jamii. Katika pitapita zangu nimekutana na habari inayosema jeshi la magereza linatengeneza viatu vya ngozi vizuri sana kwa ustadi mkubwa Huku moshi. Viatu hivi ni kwaajili ya maafisa...
0 Reactions
11 Replies
7K Views
Compatible with all Canon DSLRs 5D, 7D, 600D, 60D, 70D etc Suitable for Wedding, Music Videos, Etc
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Tuwasiliane kama unayo au unafahamu duka lolote la uhakika kwa hapa DSM Iwe na graphics card ya Nvidia(4GB+) Ram 8GB au 16GB(recommended) HDD - 1TB, Iwe na SSD japo 100GB+ Processor core i5/i7...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Bei Million 9, Kama Upo Sirius Unaitaka. Njoo Pm, Kwa Maelewano Zaidi.
0 Reactions
18 Replies
8K Views
Habari za jioni wadau.kama kichwa cha habari kinavyoeleza.Nahitaji milango ya aambayo ilikuwa inapatikana maduka ya jeshi wanaita milango ya kichina.mwenye uzoefu na mahala inapopatikana na...
1 Reactions
28 Replies
16K Views
Je, wwe ni mfanya biashara ambae unataka kurasimisha (formalize) biashara yako? Je unataka kufungua NGO, trust, CBO, church or any charitable entity? Je unataka msaada wowote wa namna ya kusajili...
0 Reactions
0 Replies
522 Views
Ningependa kujua ghrama kutumia usafiri wa fuso kutoka Lindi hadi arusha..tani kumi
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom