Fursa: Fundi makabati anahitajika

Abuu Kauthar

JF-Expert Member
Jul 10, 2011
3,950
5,692
Habari za mida hii.
Anahitajika fundi wa kamabati ya jikoni na bed room wa uhakika na garama nafuu.
Kama wewe ni fundi wa ukakika basi jitokeze nitakupa namba ya simu nione sampo ya kazi na maelewano
 
Mimi ninaye fundi matata wa makabati, anifanyia home, kama vipi leta namba yako PM nikupe sample zake via whatsapp
 
Habari za mida hii.
Anahitajika fundi wa kamabati ya jikoni na bed room wa uhakika na garama nafuu.
Kama wewe ni fundi wa ukakika basi jitokeze nitakupa namba ya simu nione sampo ya kazi na maelewano
Habari ni pm namba yako nikutumie sample zangu whatsapp
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom