wakuu habari! natafuta email address ya ICAP TANZANIA ambayo inafanya kazi maana hii ya icap-jobsTanzania@columbia.edu napata feedback kuwa siyo sahihi.
mkuuu shukrani lakini sijapata hiyo contact
Mkuu ulipata email yao, hawa jamaa??wakuu habari! natafuta email address ya ICAP TANZANIA ambayo inafanya kazi maana hii ya icap-jobsTanzania@columbia.edu napata feedback kuwa siyo sahihi.
Icap-jobs-tanzania@columbia.edu
Icap-tz-hr@columbia.edu
Icap-tz-info@columbia.edu
Zote tatu waliwahi kuwa wanazitumia hapo nyuma nadhani bado zinatumika kwa kazi tofauti ila utawapata.
Hapana kaka!Mkuu ulipata email yao, hawa jamaa??