Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wadau Kwema?? Nina shida moja, nahitaji ku-transfer kiasi fulani (Arround Tshs 50,000 - Tshs 200,000) nje ya nchi ili huyo atakaepokea anitumie mzigo fulani hivi online. Shida ni kwamba Supplier...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Kama kchwa knavyojieleza nahtaj hio simu kama unayo njoo pm tuyajenge, offer yng ni 400k. Note:simu iwe kwnye good condtion
0 Reactions
0 Replies
539 Views
Waheshimiwa, Nisaidieni wapi naweza kupata gauni zuri la harusi (hasa yale za kihindi) ila yawe na stara ya kulandana na imani ya Kiislam. Kwa uwezo wangu naomba iwe kati ya elfu 50 hadi elfu...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Tsh 850,000 available in Dar 40 inch Haina shida yoyote
0 Reactions
0 Replies
2K Views
wadau nauliza chuo kizuli cha kusoma kozi ya VIDEO SHOOTNG. Mahali kilipo Gharama zao Na contacts zao
0 Reactions
4 Replies
3K Views
TUMIA KADI YA GARI KUPATA MKOPO WA HARAKA NDANI YA MASAA 24. Kwa mahitaji yako ya KIFEDHA,BIASHARA,au MAMBO YAKO BINAFSI kama KULIPA ADA YA SHULE,CHUO,KILIPIA KODI ZA MAKAZI,BIASHARA,GHARAMA ZA...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Kwa wanaofaham, kwa sasa gunia la kg 100 la vitunguu ni bei gani? Kwa soko la temeke.
0 Reactions
9 Replies
12K Views
Hodi, Natafuta chumba cha self-contained hapa Dar, mimi ni mkazi wa kudumu...ila kwakuwa ndo nimeanza kazi (nimetolewa mkoani na Kampuni), naomba ntaanza kwa kulipa kodi ya mwezi mmoja mmoja hadi...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Nahitaji wino wa Printer na maelekezo jinsi ya kuweka ktk printer. Bei ya wino pamoja na wapi naweza pata. Nipo Dar es Salaam
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Ni Eneo la Hekari 50 lililopo Tonga malenga (Ruaha IRINGA).Unaweza kulitumia kwa kujenga sehemu ya watalii (Camp site) kwa sababu wanyama toka mbuga ya Ruaha (Ruaha National park ) hua wanatembea...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nikifaa ambacho kina kazi mbili. kazi ya kwanza ni kwaajiri ya ulinzi (security) kita kushtua pale endapo mtu ataingia ndani kwako pasipo ruhusa yako wakati ukiwa umelala. Kazi ya pili ni...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau, Habari za leo. Mimi ni mfugaji wa samaki, tayari nina mabwawa matatu ya samaki na nimeshaweka vifaranga vya samaki ambavyo vina miezi minne. mabwawa yangu ni makubwa na mazuri sana...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu, Kuna kazi ya kusafirisha Contena 19 za 20ft Kasama ZAMBIA,mzigo uliomo ni MBOLEA. Natafuta gari 19 zenye uwezo wa kubeba contena za 20ft kupeleka na kuzirudisha.Yeyote mwenye...
0 Reactions
0 Replies
973 Views
Habari. Kwa mwenye kufahamu wapi naweza pata Paper Transfer kwa ajili ya Sublimation. Mkoa Dodoma
0 Reactions
2 Replies
827 Views
Kama unataka kulimiwa tafadhali twambie Eneo lako liko wap na ukubwa wake kiasi gani Kisha sisi tuta jua tunakufikiaje.. Ikiwezekana njoo dm utupe number zako na maelekezo yawunataka kulimiwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa yeyote anayehitaji kuwekez kwenye mashamba ya miti mkoa wa njombe anitafute 0764625417 yapo mashamba ambayo yamekwishapandwa tayari na miti ipo kwenye hali nzuri ya ukuaji mashamba yanauzwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Samsung j7 galaxy 2016 Imetumika miezi kumi hadi kufika leo. Bei 250k. Sehemu ni dar pugu.
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Wazima wakuu. naitaji kuchimba kisima maeneo ya VIGWAZA MBUYUNI naomba mwenye kujua gharama za pale kwa wale wenye uzoefu na maeneo ya uko. pia naomba mwenye contact za company za uchimbaji .kuna...
1 Reactions
4 Replies
5K Views
Mambo vip wana jf je una biashara yako? na unapenda kuitangaza kupitia blog au web site usiogope kutana na mzizimpya akutengenezee blog ya bei rahisi kabisa ni shilingi 5000 tu Au pitia blog...
0 Reactions
1 Replies
720 Views
Nauza pasi ya umeme aina ya Panasonic, Bei 25000 kwa atakae hitaji nitafute namb >> 0693289203
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Back
Top Bottom