Nauliza chuo kizuri cha kusoma video shooting

Kingswat

Member
Dec 4, 2014
26
3
wadau nauliza chuo kizuli cha kusoma
kozi ya VIDEO SHOOTNG.
Mahali kilipo
Gharama zao
Na contacts zao
 
Nenda maeneo ya karibia na basata pale bungoni kuna vyuo vingi vya uandishi wa habari na hayo mambo ya Video shooting
 
wadau nauliza chuo kizuli cha kusoma
kozi ya VIDEO SHOOTNG.
Mahali kilipo
Gharama zao
Na contacts zao

Kama Headline yako umeikosea hivyo badala ya kuandika Course Wewe umeandika Caurse utaweza Kusoma kweli? Kwani ungeandika tu neno Kozi kwa Kiswahili chetu ungepungukiwa nini Mkuu? Kwanini mnapenda Kukitukuza Kiingereza wakati chenyewe hata hakiwapendi na hakiwataki?

Anyways hiyo ilikuwa ni dozi yangu Kwako. Chuo kizuri kwa unachotaka kukifanya ni cha IAMCO kipo Buguruni Malapa ndani ya Jengo la Shule ya Viziwi na kipo chini ya Mzee na Nguli kabisa wa masuala yako hayo na ya Media Mr. Ngahyoma.

Nakutakia kila la kheri na Masomo mema Kijana / Mkuu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom