Urgently: Gari za kubeba mzigo wa transit zinahitajika

Urgently: Gari za kubeba mzigo wa transit zinahitajika

Bigsteve

Member
Joined
Nov 23, 2017
Posts
37
Reaction score
60
Habari zenu wakuu,
Kuna kazi ya kusafirisha Contena 19 za 20ft Kasama ZAMBIA,mzigo uliomo ni MBOLEA.
Natafuta gari 19 zenye uwezo wa kubeba contena za 20ft kupeleka na kuzirudisha.Yeyote mwenye connection na mwenye gari anicheki tufanye kazi.Tunalipa $3500 kwa kila gari.Advance tunalipa 70% ukishusha mzigo tunamalizia 30%.Atakaefanikisha kuleta gari anapata commission ya $25 sawa na Tsh.50,000 kwa gari.Nicheki kwa 0712874317 tupige kazi

Mzigo unapakiliwa AZAM ICD.
 
Back
Top Bottom