KIWANJA CHA KWANZA KIPO ENEO LA CHUO CHA MIPANGO DODOMA
*UKUBWA. 25*20
*BEI..... 8MIL
*UHALALI.. HATI ZIPO
KIWANJA CHA PILI KIPO ENEO LA CHUO CHA MIPANGO DODOMA
*UKUBWA ....35*30
*BEI...
Habari wanaharakati wa JF,
tunapenda kuwatangazia wateja wetu ambao wanapenda kuchora tattoo inayo futika ( elimination tattoo ) na isiyofutika ( permanent tattoo ) tunachora vizuri na kwa ubora...
Hivi zile mashine za iceing sugar zinauzwa wapi kwa hapa Dar es salaam na wanauzaje? nina shida nazo wakuu na je unga wa iceing sugar mnanunuaga wapi na unauzwaje? Kwa hapa Dar maana leo...
Computer/Laptop Yako inasumbua?
Wasiliana na team nzima ya JIMZ Technologies Co. Ltd wakutengenezee computer/laptop yako Sasa! S
Tunapatikana Kituo cha Msamvu, Morogoro. Tupigie Sasa kwa...
Wasaalam wanabod, nnaomba kwa mwenye mawaziliano/ namba za simu za kampuni ya usafirishaj mizigo kutoka au kupitia Nyakanazi kwenda Dar es salaam anisaidie. Natanguliza shkrani
Habari ndugu wana jamii..
Kuna viwanja vinatangazwa sana Huko kigambini Mwasonga.. Kama unaelekea Dar Zoo
Bei wanasema ni 2500/ = kwa sqm..
Yaan 20*30 ambayo ni 600sqm wanauza kwa 1.5milion...
Habari yenu wana jamvi.
Napenda kuitambulisha kwenu huduma ya "delivery" itolewayo na P2P Delivery Services. Kama umenunua bidhaa iwe ni nguo, mafuta, viatu, vipodozi na kadhalika na hauna muda wa...
Hii simu nimeinunua mpya hata wiki mbili hazijaisha ila nmepata emergence I need the cash.
Ipo kwenye very good condition, Kila kitu chake kipo mpaka warrant seal. Napatikana Dar es Salaam, kama...
Noah iliyotunzwa vizuri inauzwa kwa bei nzuri,nyaraka za umiliki zote zipo.
AINA YA GARI:Toyota noah
LOCATION; Dar es salaam
REG NO; T 764 CTF
BEI; 11.7million (Maongezi yapo)
MAWASILIANO; 0719308160
Natafuta sehemu ambayo ntaweza ku chapisha vitabu ila iwe kwa bei nafuu. Anayejua aniambie kwa ni bei gan kwa kurasa moja, na nakala ngap wanaanzia? Ipo sehemi gan hapa dar. Tafadhal
HABARI,
AFYA NI UTAJIRI.
ETERNAL INTERNATIONAL LTD
Ni kliniki inayojishughulisha na masuala ya AFYA ya binadamu,ikishughulika zaidi na magonjwa sugu na kuboresha kinga ya mwili.
Pia tunatoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.