Eneo la Biashara Heka 50 linauzwa bei sheee

Eneo la Biashara Heka 50 linauzwa bei sheee

Princep

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2016
Posts
586
Reaction score
848
Ni Eneo la Hekari 50 lililopo Tonga malenga (Ruaha IRINGA).Unaweza kulitumia kwa kujenga sehemu ya watalii (Camp site) kwa sababu wanyama toka mbuga ya Ruaha (Ruaha National park ) hua wanatembea mpaka hapo. .
 
Mwenye kuhitaji, eneo bado lipo
 
Ni Eneo la Hekari 50 lililopo Tonga malenga (Ruaha IRINGA).Unaweza kulitumia kwa kujenga sehemu ya watalii (Camp site) kwa sababu wanyama toka mbuga ya Ruaha (Ruaha National park ) hua wanatembea mpaka hapo. ..Vibali vyote Vipo. ..BEI 75mil
Kwa Mnunuzi aliye Serious Nitafute kwa No:+255 717 631 609


75m nyingi? ningewashauri mlikate, camp site hata 5 heka zinatosha
 
Back
Top Bottom