Wakuu kwema, nimepata mtaji kidogo na kwa utafiti wangu nimeamua nifungue kiwanda kidogo cha kukamua mafuta ya alizeti na chakula cha kuku toka kwenye mashudu.
Sasa naombeni wenye uzoefu na hii...
We deal with
>injector pumps and injector nozzle repair
>engine overhaul and all engine problems
>car painting
>car parts suppliers
>car diagnosis
>LOCATION
Tabata magengeni opp CRDB bank...
MILIKI BLOG YAKO SASA
[emoji117]Tunatengeneza blog za kisasa kwa bei poa tsh 12,000/-
[emoji117]Tunatengeneza youtube channel tsh 15,000/-
Wahi kabra ofa aijaishaaaaaaaa
Call...
Habari wakuu.
Nahitaji gari ya IST namba ianzie D na kilometa zisizozidi 100,000. Gari isiwe na tatizo lolote lile. Vibali vyote viwepo.
Bajeti yangu ni Milioni 7 cash. Nipo Mbezi beach...
Wakuu Nawasalimu
Kama nilivyo ainisha hapo juu, nahitaji piki piki kwaajili ya shughuli zangu za kilimo na Ufigaji.
Kilingana na eneo ninalofunyia shughuli hizi kua mbali na makzi yangu...
Habari za majukumu waungwana?
Natafuta chumba kimoja tu cha kupanga maeneo ya ubungo plaza kwa bei ya 50,000-80,000 kisiwe mbali na barabara ya kuelekea city centre.
Mwenye nacho ani PM!
Rafiki
Je, unamgahawa, sherehe ya aina yoyote, au unapenda kunywa juice safi yenye radha halisi na familia yako, je wewe uko mwenyewe home na unapenda juice halisi ya matunda,
Tunatengeneza na...
Mimi ni RAIA mwema kabisa kutoka Tanzania-Kigoma,so ningependa kwa wataalam wanifahamishe bei ya vitu vifuatavyo na eneo vilipo.
1)Engine ya Toyo yenye 200cc na shaft yake.
2.Tairi za pikipiki...
EKU345 Academy ni center iliyoko Mwenge nyuma ya TRA na inatoa huduma zifuatazo;
1. Pre-Form 5 kwa combinations zote.
2. QT (1&2) pamoja na Reseaters
3. Tuition kwa wanafunzi wanaosoma day.
4...
Habari members.
Natafuta kituo cha mafuta (petrol station) cha kukodi sehemu yeyote Tanzania hasa mikoani nje ya DSM. Kituo kiwe kinamilikiwa na mtu BINAFSI (Siyo kumilikiwa na makampuni ya mafuta...
Habari members.
Natafuta kituo cha mafuta (petrol station) cha kukodi sehemu yeyote Tanzania hasa mikoani nje ya DSM. Kituo kiwe kinamilikiwa na mtu BINAFSI (Siyo kumilikiwa na makampuni ya mafuta...
Wakuu nauza maziwa ya Ng'ombe, fresh na mtindi. Ninauza kwa oda na utaletewa popote pale ndani ya jiji la Dar es salaam kama ukitoa oda kuanzia maziwa lita tano.
Bei ya maziwa fresh ni Tsh...
A,aleykum warahmatullah wabarakatu.Ijumaa Kareem .Naam nimekuwa nikizungumzia Mara kwa Mara katika mtandao huu mambo tofauti tofauti lakini moja ya jambo nililokuwa nazungumzia ni habari za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.