Antony Abel
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 264
- 142
Kwa wanaofaham, kwa sasa gunia la kg 100 la vitunguu ni bei gani?
Kwa soko la temeke.
Kwa soko la temeke.
kama umelima ukipnga bei unistue mkuuKwa wanao faham, kwa sasa gunia la kg 100 la vitunguu ni bei gani? kwa soko la temeke.
Vitunguu maji (red crew)Vitunguu gani mtoa mada?
ASANTE KWA USHAURI MKUBWA.Biashara ya vitunguu ni ya hovyo sana. Dalali atakuambia bei ni Tsh laki na ishirini, ila ukishampelekea mzigo ataanza longo longo, mara ooh, mzigo sio mzuri, mara michanga, mara mbegu hii sijui ikoje mara havijakauka kwa hiyo hivi tuuze laki. Unakubali, siku mbili tena anakuja na stori nyingine anakuambia hiyo laki haipatikani mara muuze tisini, kesho kutwa atakuambia muuze sabini, mwisho wa siku atakuambia vitunguu vimeanza kuoza bora muutoe mzigo kwa elfu arobaini.
Kuja kushtuka mtaji wako wote umesha zama kwenye vitunguu.
Haya sasa baada ya kuuza mwambie akupe hiyo hela kidogo aliyokusanya nayo longo longo zinaanza. Mara leo akupe laki mbili, kesho tatu, na zilizo baki mara anaanza kuumwa, mara atakwambia soko limehama n.k
Ni bora usitie mguu wako kwenye hii biashara kama hutaki kupata ugonjwa wa moyo.
Au kama umelima, ni bora uuzie huko huko shambani kwa walanguzi upate cash yako upfront.
Usiwaze mkubwakama umelima ukipnga bei unistue mkuu
Biashara ya vitunguu ni ya hovyo sana. Dalali atakuambia bei ni Tsh laki na ishirini, ila ukishampelekea mzigo ataanza longo longo, mara ooh, mzigo sio mzuri, mara michanga, mara mbegu hii sijui ikoje mara havijakauka kwa hiyo hivi tuuze laki. Unakubali, siku mbili tena anakuja na stori nyingine anakuambia hiyo laki haipatikani mara muuze tisini, kesho kutwa atakuambia muuze sabini, mwisho wa siku atakuambia vitunguu vimeanza kuoza bora muutoe mzigo kwa elfu arobaini.
Kuja kushtuka mtaji wako wote umesha zama kwenye vitunguu.
Haya sasa baada ya kuuza mwambie akupe hiyo hela kidogo aliyokusanya nayo longo longo zinaanza. Mara leo akupe laki mbili, kesho tatu, na zilizo baki mara anaanza kuumwa, mara atakwambia soko limehama n.k
Ni bora usitie mguu wako kwenye hii biashara kama hutaki kupata ugonjwa wa moyo.
Au kama umelima, ni bora uuzie huko huko shambani kwa walanguzi upate cash yako upfront.
Kweli kaka, madalali wanaharibu sana biasharaBiashara ya vitunguu ni ya hovyo sana. Dalali atakuambia bei ni Tsh laki na ishirini, ila ukishampelekea mzigo ataanza longo longo, mara ooh, mzigo sio mzuri, mara michanga, mara mbegu hii sijui ikoje mara havijakauka kwa hiyo hivi tuuze laki. Unakubali, siku mbili tena anakuja na stori nyingine anakuambia hiyo laki haipatikani mara muuze tisini, kesho kutwa atakuambia muuze sabini, mwisho wa siku atakuambia vitunguu vimeanza kuoza bora muutoe mzigo kwa elfu arobaini.