Natafuta chumba cha self cha kupanga; Bajeti yangu ni laki 1, nalipa kwa mwezi

EdwardC8

Senior Member
Nov 2, 2017
181
257
Hodi,

Natafuta chumba cha self-contained hapa Dar, mimi ni mkazi wa kudumu...ila kwakuwa ndo nimeanza kazi (nimetolewa mkoani na Kampuni), naomba ntaanza kwa kulipa kodi ya mwezi mmoja mmoja hadi bada ya miezi 3 au 4 hivi ndo tuanze kodi ya miezi 3 au 6.

Karibu PM.
 
maeneo gani unaitaji ...
 
downtown. ila najua ushaelewa ila naona unazingua...plz don't spam
Jamaa yupo sahihi kuuliza mkuu, kuna sehem zingine hapa katikati ya jiji lazima utumie magari mawili kutoka town, ungekua una ya kulipa kwa miezi 6 ningekupatia maeneo ya kimara baruti.. full mwendokasi
 
Back
Top Bottom