Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Kama kichwa Cha habari kinavyosema tupo hpa dsm kwa kutoa uduma hiyo kwa wanaohitaji ,pia tunachukuwa tender za mwaka kwenye campuny binafsi na tasisi zote ,mikutano pamoja na harusi na etc tupo...
0 Reactions
0 Replies
860 Views
Ndugu wapendwa ongera kwa kumaliza salama mwaka na kuanza mwaka mpya ,wenye baraka tele .nianze na mada mim nasupply viatu vya ngozi Aina zote kutoka namaga Kenya unaletewa ulipo na mkoani...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
MAHINDI yanauzwa Tsh 470/kg Ziko tani 400 Mzigo unapatikana tabata- Dar es salaam. MAGUNIA yaliyotumika mara 1 yanauzwa. Yako 2200 Bei kwa gunia 1 ni tsh 2500 Magunia yanapatikana tabata- Dar...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
[emoji51]
1 Reactions
2 Replies
948 Views
Kwenye group la Whatsapp la MICHANGANUO ONLINE, ambalo tunakuwa na mafunzo ya semina kila siku usiku saa 3 mpaka saa 4, baada ya kuanza wiki iliyopita washiriki waliomba wapate kwanza muda wa...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Mtu aliyepo kwenye au aliye na contacts za watu wanaofanya kazi katika kiwanda cha Sukari kinachoanzishwa Bagamoyo na Bhakhressa ( Bagamoyo sugar company Limited) katika eneo LA Makurunge...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Epson L800 nzuri kwa kuprint picha na mahitaji mbalimbali inatumia external ink ipo vizuri kama unahitaji ni sms 0715387545 au piga simu TSH 650000
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Nauza kabati la kuhifadhia chipsi,jiko la mkaa,jiko la kuchomea mishkaki pamoja na makalai 2 ya kukaangia chipsi.bei jumla 580,000.mawasiliano 0685787475
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Bei ni sh 250,000 maelewano yapo Simu ipo katika hali nzuri haina tatizo lolote, wala mchubuko kwa mahitaji ya simu hii 0717327191 Inapatikana chuo cha uhasibu TIA
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Shamba lenye uzio la ukubwa wa heka 2.5, lipo Dar - Madale - Kisauke likiwa na mabanda ya kufugia kuku yaliyokamilika kwa vifaa vyote kwa kuku wanaoweza kufikia elfu kumi linakodishwa. Eneo ni...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Shamba lenye uzio la ukubwa wa heka 2.5, lipo Dar - Madale - Kisauke likiwa na mabanda ya kufugia kuku yaliyokamilika kwa vifaa vyote kwa kuku wanaoweza kufikia elfu kumi linakodishwa. Eneo ni...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nauza gari aina ya Toyota Model: Nadia Year of Manufacture: 2000 Engine Capacity: 1990 Fuel Used: Petrol Seating Capacity: 05 Color: Silver Mileage: 88043 Registration number: T 326 DDS Ni ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari! Kuna vyumba vya kupangisha, Banana kama unaelekea kitunda... * Chumba na sebule, vyoo vya jumuia (wapangaji wanne tu). Kodi yake ni 70,000/= (miezi mitatu) * Sebule na vyumba...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Kodi frem ya biashara iliyopo maeneo ya msasani kimweri avenue + Maandazi Road opposite CCBRT Lipia Elfu 80,000 tu kwa mwezi Kwa Mawasiliano piga 0657 13 13 66
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Imetumika miezi sita. Bei -- Tsh 230000 Ipo kurasini Dare sa Salaam Simu :- 0757347907.
0 Reactions
2 Replies
601 Views
Naona sasa Tanzania imeingiliwa na michezo ya kubashiri. Sijui ni kwasababu kila mmoja amekata tamaa ya kufanikiwa kwa kutumia akili na nguvu zake mwenyewe? Au ni vile tu kumekuwa na wingi wa watu...
0 Reactions
4 Replies
23K Views
I am the one who deleted it myself. THE ITEM IS SOLD ALREADY
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Kwa mtu yeyote anayeuza nyumba yake iliyopo karibu na kanisa katoliki popote pale Arusha mjini tuwasiliane.
0 Reactions
0 Replies
538 Views
Salaam wadau..nahitaji secretary katika ofisi yangu iliyopo Dsm.Vigezo Muhimu no kama ifuatavyo: 1.Lazma awe amesomea kozi ya secretarial kwa ngazi ya cheti na kuendelea. 2.Awe na ujuzi wa...
1 Reactions
0 Replies
721 Views
Assalamu alaykum waungwana. Natafuta mpishi mzuri anayeweza kupangilia menu za aina mbalimbali kwa ajili ya mgahawa wa kisasa ulioko Kinondoni. Mwenye taarifa au contact za mtu kama huyo anaweza...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Back
Top Bottom