raymkindo Senior Member Joined Oct 29, 2013 Posts 102 Reaction score 46 Jan 30, 2018 #1 Habari. Kwa mwenye kufahamu wapi naweza pata Paper Transfer kwa ajili ya Sublimation. Mkoa Dodoma
M MAKULUGA JF-Expert Member Joined Jan 21, 2011 Posts 8,098 Reaction score 10,944 Jan 31, 2018 #2 Ray nielimishe hivi ni vitu gani!!
raymkindo Senior Member Joined Oct 29, 2013 Posts 102 Reaction score 46 Feb 12, 2018 Thread starter #3 KYALOSANGI said: Ray nielimishe hivi ni vitu gani!! Click to expand... Hizo ni karatasi zinazotumika kuamisha picha kwenda kwenye tshirt..vikombe..sahan au material mengine.
KYALOSANGI said: Ray nielimishe hivi ni vitu gani!! Click to expand... Hizo ni karatasi zinazotumika kuamisha picha kwenda kwenye tshirt..vikombe..sahan au material mengine.