anza-mwamba academy center tunafundisha program ya pre-form v na wanaorisiti kwa mwaka 2018
masomo yanayofundishwa kwa pre-form v ni:
1. advanced chemistry
2.advanced biology
3.advanced physics...
Registration Number: T832CVJ
*VEHICLE DETAILS*
Make: Toyota
Model: Passo
Model Number: DBA-KGC10
Body Type: Station Wagon
Colour: Blue
Class: Light Passenger Vehicle
(Less than 12...
Habari jf!
Mada inajieleza.Kozi ninazotoa ni kumuandaa bint katika maisha ya ndoa.Kumpa mbinu za kuishi na mume bila migogoro.
Kumfundisha sex position nzuri zitakazo mpagawisha mumeo...
Habari wakuu!!
Poleni kwa mihangaiko ya kujitafutia riziki.
Leo nakuja kwenu kuwatangazia moja kati ya huduma zitolewazo na Kampuni yetu ya Goodlife Holdings Ltd. Tunahusika na shughuli za...
kiwanja kinauzwa cha ukubwa wa 1734 sqm kipo chanika (ukipanda basi la chanika unashuka kituo kinaitwa Kwa Sadala) kina hati ya umiliki na hakina mgogoro, kiko 300m au pungufu kutoka barabara kuu...
Kwa mwenye ilo aina ya iyo friji tajw apo juu tuwasiliane mimi naliitaji liwe used
0717461661
0621185717
Ama nitumie picha watsap kupitia iyo no ya halotel 0621185717
Habari wana jamii
Nahitaji nyumba ya kupanga! Iwe ya kuanzia vyumba viwili kimoja kikiwa master itapendeza! Iwe na uzio na iwe ya kupendeza, maji ni muhimu!
Maeneo ni Kimara kuja mpaka ubungo, au...
Najua ni wengi wanakereka na hili,lakini zipo njia nzuri za kuweka mwili sawa, FITNESS EMPIRE tunakuletea kifaa rahisi kwa mazoezi ukiwa nyumbani kifaa ambacho unaweza fanya mazoezi ya mwili mzima...
Somo linajieleza hapo juu niko Geita Natafuta pikipiki ya kununua ya bei ndogo iliyotumika kidogo hata miezi kadhaa au mwaka 1
Aina ya Boxer au Tvs
Iwe na vielelezo vyote
Nahitaji Kwa shughuli...
Habari,
kama title ijielezavyo mimi najihusisha na ununuaji wa alizeti na kukamua mafuta kisha kuuza mafuta na mashudu kwa bei ya jumla,
Kwa sasa napata changamoto ya mtaji kwa sababu...
Vitu vifuatavyo vinauzwa kwa pamoja:
Mabati 65 ya kawaida ya mita 3
Nyumba moja ya vyumba vitatu iliyopo Chanika Dar es Salaam
Nyumba mbili zilizofika kwenye lenta moja ina vyumba vitatu jiko...
Natafuat recycled paper kwa ajili kutoa copy za mitihani nahitaji kwa katoni. Hii ni baada ya bei ya karatasi za kawaida kuwa juu kiasi cha kushinda kuendesha biashara hii. Aina ya karatasi ni A4...
Maziwa fresh na mtindi ya ng'ombe wa kienyeji pure Hakuna kuweka maji hapa na ruksa kupima kama yana maji napokea order kuanzia lita tano naleta mpaka ulipo bei mtindi lita...
Ni kampuni bora kabisa tunatoa huduma zetu vizuri na warrant ya miaka mitatu yaani pakitokea tatizo tutafanya marekebisho bure ndani ya miaka mitatu ni cctv camera, za wire na wireless, pamoja na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.