Hodi

Hodi katika jukwaa la jamii, jamani Mpo?
kwa pamoja nawasalimu, Hamjambo?

Basi tupo pamoja.

Karibu,ila huku umepotea kidogo,huku tunahabarishana mambo ya mabiashara,mabizinezz na mauchumi. Unaweza ukaona kimya sana kumbe umeingia mlango sio.
 
Wewe acha usanii unaingia,unakaa na baadaye unapiga hodi!wewe ni kabila gani?hizo ndiyo mila na desituri za kabila lako?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom