T Treasure New Member Joined Nov 12, 2010 Posts 1 Reaction score 0 Nov 12, 2010 #1 Jamani wana Jf me nilijiunga zamani lakini bila kujitambulisha leo nimeona ni vuzuri nijitambulishe ili tuwe pamoja jamani inchi yetu inaenda wapi?
Jamani wana Jf me nilijiunga zamani lakini bila kujitambulisha leo nimeona ni vuzuri nijitambulishe ili tuwe pamoja jamani inchi yetu inaenda wapi?
J Jafar JF-Expert Member Joined Nov 3, 2006 Posts 1,136 Reaction score 58 Nov 12, 2010 #2 Karibu sana, kwanza tulia usiwe na hasira. :welcome::welcome:
Saint Ivuga JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 55,030 Reaction score 59,682 Nov 12, 2010 #3 :welcome:
Gerad2008 JF-Expert Member Joined Jun 9, 2009 Posts 583 Reaction score 287 Nov 12, 2010 #4 Habari za hii nchi ni kuba; Hili ndilo tunalojadili hapa jamvini na mjadala ni mkubwa kwa sababu hatusomi kabisa ramani mkuu
Habari za hii nchi ni kuba; Hili ndilo tunalojadili hapa jamvini na mjadala ni mkubwa kwa sababu hatusomi kabisa ramani mkuu
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,926 Nov 12, 2010 #5 Karibu sana hapa jukwaani.