Hodi x 3

Hodi x 3

Mzaa chema

Member
Joined
Nov 11, 2010
Posts
20
Reaction score
0
Nilikua nafuatilia jf kwa karibu, imenipendeza nijiunge,
ila wadau, mnanishauri nianze na topic gani inayopendwa humu😎
 
Tupo kisiasa zaidi mpaka jk atakapo maliza mda wa uwozo wake.
 
politics is a dirty game dont get involved 2much. for your health
 
Thanks yeshua for warm welcom, nimeigia hapa jf naona watu wamelewa chakari, pombe mbaya sana ya POLITICS.mpaka wanacora ramani (wanapepesuka) What the hell is this !
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom