Kibali cha kufanya maandamano matukufu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kibali cha kufanya maandamano matukufu

Discussion in 'Utambulisho (Member Intro Forum)' started by Malyamungu, Nov 14, 2010.

 1. M

  Malyamungu JF-Expert Member

  #1
  Nov 14, 2010
  Joined: Jul 5, 2009
  Messages: 363
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  • First of all i am apologising on the name of holy name of JF sitarudia tena in using undisqulified language which i used involunterily
  • Haya wanajamii niliingia hapa JF yapata mwaka sasa bila ya kuomba ukaribisho.
  • pia hivi majuzi nilighafilika nikafungiwa kuingia janmvini kwa sasa nimepata kibali takatifu cha kuruhusiwa kuingia tena jamvini.
  Nawasalimuni kwa jina la wana jamii where people people dare to talk openly.

  Naombeni mnipokee
   
 2. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #2
  Nov 14, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,710
  Trophy Points: 280
  Hilo nalo neno, karibu mkuu!
   
 3. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #3
  Nov 14, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Pole kwa kufungiwa.
   
 4. K

  KERENG'ENDE JF-Expert Member

  #4
  Nov 14, 2010
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 398
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  hata mgeni anaweza kumkaribisha mwenyeji na sema karibu ingawa sija piga hodi
   
 5. YeshuaHaMelech

  YeshuaHaMelech JF-Expert Member

  #5
  Nov 14, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 2,624
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Karibu!
   
 6. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #6
  Nov 14, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Karibu KERENG'ENDE
   
Loading...