Shalom

Aikaotana

Senior Member
Nov 11, 2010
199
9
Baada ya kusoma kwa siku kadhaa sasa nimeingia rasmi JF ila uchunguzi wangu umebaini kuwa kuna memba hawaielewi hii forum au kwa makusudi hawataki kuielewa, HESHIMU MAWAZO YA MWENZAKO KOSOA BILA KUTUKANA , SINA HAKIKA KUWA HII NI FORUM YA CHAMA CHOCHOTE CHA SIASA, DINI FULANI, KANDA, KABILA NK. nawashauri member ambao wanataka kuipa hii forum chama au dini fulani waache mara Moja!
 

Katavi

Platinum Member
Aug 31, 2009
41,956
12,591
Karibu sana katika forum yetu. Nashukuru kwa kutambua kuwa forum yetu ni ya jamii bila kujali dini, rangi, kabila wala taifa.
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom