WANAJF tuko pamoja sana kwenye forum hii ya kijanja nimekuwa nikiitembelea mara kwa mara sasa nimeona nijitupe uwanjani rasmi.Naomba ushirikiano wenu wakongwe pamoja na wachanga wenzangu.PAMOJA SANA
Nina kila sababu ya kutanguliza salaam zangu za heshima kwa wanajamii wote,kwa muda nimekuwa nikifuatilia thread mbalimbali humu JF kabla ya kujiregister rasmi.Kutokana na msisimko niliokuwa...
Jamani kabla sijawaomba wahusika wanibadilishie jina, naomba mwemye jina zuri ani pendekezee hapa.
Tabutupu naona si jina zuri. Hata la kienyeji ili mradi unipe maana yake.
Asanteni.
Compliments of the new season!
Waungwana bila shaka mmeuanza mwaka mpya 2011 kwa matumaini. Naomba kuungana nanyi katika kulisukuma hili gurudumu la jamii.
Asanteni:A S thumbs_up:
Hodini wana JF; kiukweli nawakubali wana JF Great Thinkers. ndo maana napiga hodi kuingia humu ndani ili uwepo wangu muutambue.
Nikaribisheni na heri ya mwaka mpya wote.
Yes members!! I am the only I am and you are yourself in the self. Only the truth will make you yourself. Tuseme ukweli maana ni kwa huo tu ambao hata maadui wengi huunganishwa, regardless time...
Nimekuwa msomaji wa jamvi hili kwa muda sasa. Nimevutiwa nalo.Linastahiki sifa nyingi, lakini kwa leo itoshe kupiga hodi nikiwa mwanachama mpya, ili nipate kukaa kwenye baraza. WanaJF kazi nzuri...
Natanguliza heshima kwa wanajamii wote. Mtaokarimu ujio wangu kwa neno la karibu kwa niaba ya mlionitangulia humu, ukarimu wenu ni tafsiri tosha kwamba wanajamii wanafurahi kupokea changamoto mpya.
wanajamii forum, i salute you!
mimi ni mgeni JF, nipokeeni plz! looking forward to this... :cheer2::cheer2::cheer2::cheer2:
but i just cant decide which topic to put up first!!! so, ngoja tu...
Hi members,mi mgeni katika jamii forums,naomba ushirikiano wenu na mimi naahidi kutoa ushirikiano wangu kadiri Mungu atakavonijalia!
I Love You All!!!!!!!!!!!!!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.