Hi Waheshimiwa!

Hi Waheshimiwa!

Elly B

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2011
Posts
1,194
Reaction score
906
Just want 2 say hello and that I'm interested on the the forum. Its wonderful.Big Up :A S thumbs_up:
 
karib sana. unaonekana ni mtaalam sana wa lugha za kigeni, hii n faraja kwa forum hii ambayo mpaka sasa inakabiliwa na tatizo la memba wengi wanaoongea broken english. tunategemea utasaidia kurekebisha hili tatizo. karib sana

ukitaka kunigongea senks, pana kitufe hapo kushoto chini ya post yangu. ukikiclick utabarikiwa sana.
asante kwa ushirikiano
 
karib sana ukitaka kunigongea senks, pana kitufe hapo kushoto chini ya post yangu. ukikiclick utabarikiwa sana.
asante kwa ushirikiano

Ukitaka baraka zaidi kila ukiona hili jina VOICEOFREASON, bonyeza kitufe cha Thanks.......
 
Karibu na feel free kuchangia na kutoa hoja zako
 
Karibu sana, zingatia kanuni na sheria za jamvi letu.
 
Back
Top Bottom