Salaam kwa wanaJF WOTE ! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Salaam kwa wanaJF WOTE !

Discussion in 'Utambulisho (Member Intro Forum)' started by Matango, Jan 14, 2011.

 1. Matango

  Matango JF-Expert Member

  #1
  Jan 14, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 511
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Nimekuwa msomaji wa jamvi hili kwa muda sasa. Nimevutiwa nalo.Linastahiki sifa nyingi, lakini kwa leo itoshe kupiga hodi nikiwa mwanachama mpya, ili nipate kukaa kwenye baraza. WanaJF kazi nzuri! ! Keep it UP !!
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Jan 14, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  naamini u mgeni halali. karibu sana.
   
 3. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #3
  Jan 14, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Karibu sana mkuu!!
   
 4. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #4
  Jan 14, 2011
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  karibu mkuu
  una jina zuri sana
   
 5. Matango

  Matango JF-Expert Member

  #5
  Jan 14, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 511
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Nimeshakaribia. Asante kwa kulifagilia jina. Wenye kujua sifa za Matango watatuelimisha.
   
 6. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #6
  Jan 14, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  hata mimi napenda sana matango....karibu jamvini mpendwa
   
Loading...