Hi 2 all members of JF Community, i've registered myself 2 ur community and i hope i'll learn a lot through u. But as the title shows i'm really solid.
i'm so glad to have lastly joined the forum..i've been following different discussions from you members since 2007 but i thought it's high time now i joined the forum...thanx
helow member mate of JF ,hoping your fine just ponder deep for ensuring the development of our nation,am here in the forum to increase the power towards ensuring the growth of the nation...gve me...
Jamani tutakuwa pamoja humu ndani na nashukuru kujiunga ili tuweze kubadilishana hili na lile kama kawaida katika maisha ya kila siku. Asanteni saaaana.
Wana jf, naja jinsi nilivyo.
Mimi si malaika kwamba nisikosee, wala si taahira nisiweze kuchangia.
Naomba nirekebishwe na kukosolewa pale ninapokosea.
Naomba nipongezwe pale ninapofanya vizuri...
Naamini nimeiva kiasi cha kutosha kuchangia jamvini. Naamini kwa namna moja au nyingine nitashiriki kuijenga nchi yetu niipendayo.WanaJF naomba ushirikiano wenu.
:welcome:yah inakuwa ngumu kwa mara ya kwanza kama mtu unakuwa mpya ktk blog but through msaada naweza kushiriki mambo mengi nanyi kupiutia kwa blog hii wakubwa yah am a student of 2nd year at...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.