Sauti mlangoni! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sauti mlangoni!

Discussion in 'Utambulisho (Member Intro Forum)' started by mwanamara, Jan 14, 2011.

 1. mwanamara

  mwanamara Member

  #1
  Jan 14, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 53
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15
  Natanguliza heshima kwa wanajamii wote. Mtaokarimu ujio wangu kwa neno la karibu kwa niaba ya mlionitangulia humu, ukarimu wenu ni tafsiri tosha kwamba wanajamii wanafurahi kupokea changamoto mpya.
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Jan 14, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,527
  Likes Received: 19,949
  Trophy Points: 280
  karibu.or welcome
   
 3. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #3
  Jan 14, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  kARIBU SANA MKUU!!
   
Loading...