Naomba kubadili jina

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,109
18,326
Jamani kabla sijawaomba wahusika wanibadilishie jina, naomba mwemye jina zuri ani pendekezee hapa.

Tabutupu naona si jina zuri. Hata la kienyeji ili mradi unipe maana yake.
Asanteni.
 
Kwa vile husema sababu zilizokufanya uone kuwa Tabitupu sio jina nzuri; napendekeza Rahatupu.
 
I like your name.... it shows reality (ukiangalia avatar yako na signature yako) Tabu Tupu!........ Hardships mtindo mmoja... unless unataka kujiita SHIDA..
 
Kwa vile husema sababu zilizokufanya uone kuwa Tabitupu sio jina nzuri; napendekeza Rahatupu.

Kwanza ni refu , halafu halivutii wengi, halitamkii na pianaona kama wengi wanaliogopa.
 
I like your name.... it shows reality (ukiangalia avatar yako na signature yako) Tabu Tupu!........ Hardships mtindo mmoja... unless unataka kujiita SHIDA..

asante mkuu, ila unaonaje tukibadilishana????
 
asante mkuu, ila unaonaje tukibadilishana????
avatar32534_4.gif
Only a mother can understand the suffering of a son
kwangu mimi this shows suffering..... Matatizo..... Tabu....... Kama kungekuwa kuna voting ya Jina lenye meaning ninge-nominate yours.... jina lako linahold the meaning..... sasa kama ni refu sana labda ngoja nicheki tabu in french, au spanish ni nini huenda jina likawa tamu zaidi
 
Jamani kabla sijawaomba wahusika wanibadilishie jina, naomba mwemye jina zuri ani pendekezee hapa.

Tabutupu naona si jina zuri. Hata la kienyeji ili mradi unipe maana yake.
Asanteni.

Kusudio la kujiita tabutupu lilikuwa nini?? labda tuanzie hapo kupata la kukubatiza upya
 
avatar32534_4.gif
Only a mother can understand the suffering of a son
kwangu mimi this shows suffering..... Matatizo..... Tabu....... Kama kungekuwa kuna voting ya Jina lenye meaning ninge-nominate yours.... jina lako linahold the meaning..... sasa kama ni refu sana labda ngoja nicheki tabu in french, au spanish ni nini huenda jina likawa tamu zaidi

Thanks mkuu, inaonekana watu wanapenda hili jina, avatar, na my signature. lakini bado hakuna uhalisia na mimi mwenyewe. labda nipe hayo ya kichina nicheck.
 
kusudio la kujiita tabutupu lilikuwa nini?? Labda tuanzie hapo kupata la kukubatiza upya

kusudi la kujipa tabutupu si kubwa sana. Zaidi ya kuieleza jamii jinsi inavyo taabika katika kila kitu chini ya jua. Japo tunafikiri kuna raha katika kila jambo lakini taabu ipo palepale hadi tunakufa. Lakini sasa nimebadili mtizamo naona kama kuna ukuta kati ya raha na taabu.
 
:faint2::faint2:Sasa km taabu bado zipo palepale huna haja ya kubadili jina. Mie nilidhani sasa umechomoka kimaisha na taabu zimekwisha sasa unataka ujiite PEDEZHEE.
BASI ENDELEA NALO TU MAANA dunua bado imekuzonga na tabu hazijaisha.:-*
 
nini kinakuchekesha humu dada angu. Si umelelewa somo hapo juu??. Ebu nipe jina zuri hapa.

Unaweza kutumia middle (lest known ) name ! Mimi hili ni jina langu nilipewa na mama yangu ila halijaandikwa popote,
Kwahiyo nilitumiapo ni kama kuenzi jina la utotoni, unknown to others,
hivyo nadhani nawe una jina zuri tu unaloweza kulitumia na likakupa faraja
 
:faint2::faint2:sasa km taabu bado zipo palepale huna haja ya kubadili jina. Mie nilidhani sasa umechomoka kimaisha na taabu zimekwisha sasa unataka ujiite pedezhee.
Basi endelea nalo tu maana dunua bado imekuzonga na tabu hazijaisha.:-*

salamu kwako mpasuaji, ndio maana silitaki, maana jina hujenga dhana fulani nafsini mwa mtu. Kwani we hujawahi ambiwa usiwape watotot majina yenye maana negative??. Mimi sio peke yangu niliyo kwenye taabau ila wote ndiovyo tulivyo hadi kufa. Kama sivyo hutaitwa mpasuaji maana shida zitakuwa hazipo, hakuna magonjwa, etc.

Halafu naomba uje uchukue mkasi wako ulio usahau wakati unanitoa kile kidali. Usisahau.
 
unaweza kutumia middle (lest known ) name ! Mimi hili ni jina langu nilipewa na mama yangu ila halijaandikwa popote,
kwahiyo nilitumiapo ni kama kuenzi jina la utotoni, unknown to others,
hivyo nadhani nawe una jina zuri tu unaloweza kulitumia na likakupa faraja

dada angu sina hilo jina unalo sema, ndio maana naomba unipendekezee jina jingine zuri.
 
kwa vile husema sababu zilizokufanya uone kuwa tabitupu sio jina nzuri; napendekeza rahatupu.

asante sana ama, naona linaweza kunifaa, labda wengie niwasikilize kwanza?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom