habari kwa waungwana woteee

habari kwa waungwana woteee

ndogwila

Member
Joined
Jan 10, 2011
Posts
21
Reaction score
3
mimi ni mgeni lakini mwenyeji ktk jukwaa hili.kwanza nilikuwa mfuatiliaji wa nje sasa naomba mnikaribishe ndani.membaz wooote mnikumbuke ktk ufalme wenu.
 
Karibu hata mimi nimejiunga juzi tu! baada ya kuona jf ni kweli great thinker nikaamua kuchonga mzinga
 
mimi ni mgeni lakini mwenyeji ktk jukwaa hili.kwanza nilikuwa mfuatiliaji wa nje sasa naomba mnikaribishe ndani.membaz wooote mnikumbuke ktk ufalme wenu.

Kheri ya mwaka na karibu sana Ndogwila,tena mno,tena sana na sana kabisa, ila taratibu na kumbuka kufuata kanuni,uwanja ni :welcome:wako
 
Back
Top Bottom