kimnya kimnya nakuja

con

New Member
Jan 7, 2011
3
0
I happy 2 b here..tupeane maneno mawili matatu mpaka zaid maelfu:A S thumbs_up:
 
Mbona umeanza kwa kishindo namna hiyo............... kimya kimya kivipi? Kimya ina maana ya husisha masikio hata hivyo KARIBU SANA HAPA ndo home ogf greater thinker!!!!
 
Na mimi pia nakukaribisha kimya kimya. Welcome on board and feel at home!
 
Back
Top Bottom