Naomba kupokelewa wana JF

Nsengimana

Member
Jan 15, 2011
53
6
Nina kila sababu ya kutanguliza salaam zangu za heshima kwa wanajamii wote,kwa muda nimekuwa nikifuatilia thread mbalimbali humu JF kabla ya kujiregister rasmi.Kutokana na msisimko niliokuwa nikiupata kwa jinsi wa2 wanavyochangia hoja na kuchalengiana nimeona ni bora niingie kati ili niuone uhondo wa ngoma kwa kuicheza mwenyewe nicje nikaachwa na msemo wa wahenga!Salaam wote.
 
3789274723_bf9c48309a.jpg
:welcome:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom