Migomo chuo kikuu

sirday

New Member
Jan 11, 2011
1
0
jamani vipi tena kuhusu migomo ya vyuo vikuu tena ili anza udom,Au na sasa tumaini
 
kampala ndio balaa defender za police ful tym kuchek usalama !
toka 2meletwa na tcu mpaka leo hakuna mkopo wala nn !
 
dah kazi kweli kweli....kauchochoro ulichopitia sio chenyewe mheshimiwa. anyways karibu!!!
 
Karibu sana.
Migomo itaendelea sana tu kwa jinsi hali ilivyo!
 
Back
Top Bottom