Linamo JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 9,976 Reaction score 24,498 Jan 12, 2011 #1 Nimeamua kufunguka kuuliza ni mapenzi gani yanaridhisha,kwa kuwa hii ni sababu ya wanandoa kusalitiana.
Nimeamua kufunguka kuuliza ni mapenzi gani yanaridhisha,kwa kuwa hii ni sababu ya wanandoa kusalitiana.
hashycool JF-Expert Member Joined Oct 2, 2010 Posts 6,555 Reaction score 2,841 Jan 12, 2011 #2 karibu
klorokwini JF-Expert Member Joined Dec 2, 2009 Posts 8,647 Reaction score 5,147 Jan 12, 2011 #3 hashycool said: karibu Click to expand... kamanda mbona unamkaribisha bila kujib suala lake? huyu inaonekana anafanya kazi ya kuandaa mitihani ya taifa. yaani kaingia tu na suali. hehehe
hashycool said: karibu Click to expand... kamanda mbona unamkaribisha bila kujib suala lake? huyu inaonekana anafanya kazi ya kuandaa mitihani ya taifa. yaani kaingia tu na suali. hehehe
E EL MAGNIFICAL JF-Expert Member Joined Jan 11, 2011 Posts 938 Reaction score 125 Jan 12, 2011 #4 only true lv