Ujio mpya!!

Ujio mpya!!

Ijuganyondo

Member
Joined
Jan 13, 2011
Posts
62
Reaction score
1
Hello boyz&galz,ladiez&gentz,mumiez&dadiez asalaam aleykum.me ni mwanaharakati,naomba kutambulika jamvini!
 
Karibu sana mwanaharakati.
Je upo tayari kujitoa uhai kwa ajili ya wenzio?
Tunahitaji watu wa aina hiyo hapa.
 
Karibu sana
Ili kuwa mwanaharakati unahitaji kujikana kwanza na kuwa tayari kufa kwa ajili ya masilahi ya umma. Je, wewe umeikana nafsi yako?
Karibu sana mkuu
 
Mostly welcome mwanaharakati mwenzetu,umekuja wakati mzuri tunajadili Katiba mpya,Dowans na mengine mengi........usisite kushiriki pamoja na ugeni wako!
 
Karibu JF lakini ukifuka moshi unaweza kulia. JF ni kiboko watu hawana simile hivyo karibu sana ni tumaini hutajutia uamuzi wako.
 
Kabla ya kukukaribisha inabidi kwanza twende kwa sheik yahya atujuze malengo yako ya kuja huku!
 
Kabla ya kukukaribisha inabidi kwanza twende kwa sheik yahya atujuze malengo yako ya kuja huku!

Duh, utabibu kwanza..
Ila usiyaabudu sana mambo hayo ya mkondo wa utabibu.
 
ijuganyondo uyumwiki?
nikujambusi wamwana veve....
pamoko sana babu karibu sana panapo revoluuuuteneeee ....che guvara katangulia sie twafata folder zake....mapinduziiiiiiiiiiiiiii....ahh nikisema ivi inasaund ki ccm ennh?? ..basi alutaaaaaa.......ATHANTEEEEEEEE!!!!
 
Eee, Sheikh Yahya ndo siku hizi anatuambia nchi yetu inakokwenda japo kwa matege!
 
Nyegera Waitu.
Walete na wa Kyansozi, Busimbe, Kanywankoko, Ntungamo.
Waambie Omutwale wa Kanyigo anawakaribisha.
 
Mostly welcome mwanaharakati mwenzetu,umekuja wakati mzuri tunajadili Katiba mpya,Dowans na mengine mengi........usisite kushiriki pamoja na ugeni wako!

kuna hili la ukandamizaji jinsia hapa jf.
Hebu mwambie awe makini.
 
Back
Top Bottom