Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Hodi wana JF. Naomba mnipokee kijana wenu.
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Nilisahau kupitia huku,naombeni mnipokee ili niwe family member wenu.
0 Reactions
6 Replies
904 Views
Now i'm in this Jf. Hi to all members
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hodi hodi wana jamii
0 Reactions
10 Replies
1K Views
watanzania wenzagu naamini kubalisha maisha ya kila siku yatupasa tubadilishe vile tufanyavyo kila siku. Napenda niwe mwanaJamii kama ninyi mlionitangulia. Ukaribisho tafadhali
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Wapendwa wanaJF nilipotea kwa miezi kadhaa likini nimerudi. Hii ni kutokana na matatizo ya kiafya yalonikumba. Kwa sasa niko hewani tuendeleze hili jahazi la maisha. Asanteni
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Hodi wana JF,naingia ulingoni tafadhali nipokeeni.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari zenu wanaJF mimi ni mwanachama mpya hapa jamvini, natumai mtanipokea na kunipa ushirikianao!!!
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Habari zenu jamani!<br /> Ni faraja kujiunga nanyi kuanzia leo.Nimekuwa nikipita humu mara kwa mara.JF imetokea kuwa eneo la kuainisha changamoto,kuongeza ufahamu,kuchochea kufikiri,udadisi na...
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Natumai mu wazima wadau mi mgeni wenu naomba tushirikiane kwa kila jema wadau,nawatakia cku njema.
0 Reactions
14 Replies
1K Views
hi
waungwana naingia umu naomba mnipokee
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Jama! Hbr ya majira haya! Hakika baada ya kuwa mperuzi kitambo sasa nimeamua kuwa ndani ya WanaJF! Naombeni kampani yenu na sina mengi zaidi ya kuwatakieni kazi njema ktk ujenzi wa Taifa le2 lenye...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Naitwa Yared, nakuja kujiunga nanyi hasa katika harakati za mapambano ya kuliendeleza na kulikomboa taifa letu mikononi mwa wahuni/ Naomba ushirikiano wenu.
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Ujio wangu ni sawa na ujio wa dudumiz,nafanya ninachosema,nasema ninachofanya,kama haipandi ingia mitin tumesota sana muda we2 kuhema sema baba safari njema!,nimekuja kufanya mapinduz hapa jf! Hod...
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Natamani ningeanza mda mrefu ingawa najua sijachelewa sana kwenye hili jukwaa la wenye hoja zenye ujazo mithili ya uzito wa tatizo la mgao wa giza. Ni hayo tu,tutakutana zaidi jukwaani... Mungu...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Hoodi wadau wa Jf naomba kuungana nanyi.
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Ni Mtanzania, naitwa Panjilwa Chiwaligo (Chiwal). Kumbe nilikuwa nimechelewa! Sikujua, pengine ushamba au ..... Nimetonywa na jamaa kuhusu JF na kweli hapa ni mtungi wa elimu, burudani na kila...
0 Reactions
5 Replies
862 Views
kwa muda mrefu nimekuwa nikifatilia post zenu, zenye challenge za ukweliii, nimeamua kujitupa ndani ya janvi hili kwani uvumilivu umenishinda nimeona nami nitoe mchango wangu wenye niaya kudai...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Yap swager za ukwel nakupa,nakuchana ukweli twende mkono uckimbilie chupa,nachapa nyama zilzonona ucnpe mifupa,na kwangua kwa kucha,i track maboya inawashusha,npe ile k2 ya arusha
0 Reactions
5 Replies
1K Views
To b active in good things is a gift from God,i believe
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…