Heloo watu ya kipande hii

Heloo watu ya kipande hii

Mangimeli

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2011
Posts
1,151
Reaction score
289
Natumai mu wazima wadau mi mgeni wenu naomba tushirikiane kwa kila jema wadau,nawatakia cku njema.
 
Aise nimekimiss kiburu sana nani amepika kwa pande sa huko nije aise Mangi
 
Aise nimekimiss kiburu sana nani amepika kwa pande sa huko nije aise Mangi
<br />
<br />
Aisee Mr Rocky kiburu ipo ya kutosha kwa mama urasa,mama mushi pia anatengeneza bila kusaau na mbeke msee wangu
 
wee Mangimeli ukitaja mbeke mtima wangu unarukaruka aisee.
 
Back
Top Bottom