Tafadhali naomba mnipokee

Tafadhali naomba mnipokee

The Dude

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2011
Posts
1,029
Reaction score
464
Habari zenu jamani!

Ni faraja kujiunga nanyi kuanzia leo.Nimekuwa nikipita humu mara kwa mara.JF imetokea kuwa eneo la kuainisha changamoto,kuongeza ufahamu,kuchochea kufikiri,udadisi na kufahamu mawazo tofauti yaliyopo.

Mimi ni kijana wa kiume,ni mtanzania,niko Tanzania.Naomba mnipokee.Majukwaa ninayoyapenda zaidi ni siasa,elimu na sheria.

Akhsanteni.

Karibu kwa kukukaribisha naomba uje na mada na koment za kutufanya kujifunza mema toka uliko na yale mabaya ni vema yasitufikie

Karibu kwa kukukaribisha naomba uje na mada na koment za kutufanya kujifunza mema toka uliko na yale mabaya ni vema yasitufikie

Asante.nina mada mawazo kadhaa ya siasa,elimu na sheria..kitambo tu nitayaweka hadharani

Da! Mwanzo nilizani jina langu kumbe sio, karibu tafakuri ndio inamata humu.

Haya Learned brother maana ndivyo mnavyoitana wenyewe karibu sana kuna Learned Brothers and Sisters kibao kwenye sheria tunakuhitaji sana

Haya Learned brother maana ndivyo mnavyoitana wenyewe karibu sana kuna Learned Brothers and Sisters kibao kwenye sheria tunakuhitaji sana

Akhsante mkuu..am not one of them,mi hilo ni username tu hasa ukizingatia nimehangaika kutafuta jina sana kila nnalojaribu tayari nakuta lina mtu nkasema isiwe tabu...ila nawakubali learned brothers sana

Similar Discussions

Back
Top Bottom