Hamjambo?

Hamjambo?

Yared Nestory

Member
Joined
Aug 31, 2011
Posts
11
Reaction score
4
Naitwa Yared, nakuja kujiunga nanyi hasa katika harakati za mapambano ya kuliendeleza na kulikomboa taifa letu mikononi mwa wahuni/
Naomba ushirikiano wenu.

Karibu sana JF,soma na ufuate kanuni za humu ndani.

mhhhh ndo jina lako kabisa au ni jina la kihumu humu
karibu mkuu

Karibu sana, jukwaa la GT. Kama we ni mvivu wa kufikiria hapa utatoka nduk.

Naitwa Yared, nakuja kujiunga nanyi hasa katika harakati za mapambano ya kuliendeleza na kulikomboa taifa letu mikononi mwa wahuni/

Naomba ushirikiano wenu.
Karibu sana Yared jamvini...

pumbaff! nani muhuni? unakuja na jazba angalia usije toka kama ulivyoingia.

pumbaff! nani muhuni? unakuja na jazba angalia usije toka kama ulivyoingia.

ni mawazo yake. Na hizo ni perception zake. Japo ni za kijinga, ila si mgen? Tumpokee.

pumbaff! nani muhuni? unakuja na jazba angalia usije toka kama ulivyoingia.

gonga hapa www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/10851-how-to-use-jamiiforums-effectively-39.html#post2444854

halafu ndio umtukane sawa mkuu

Back
Top Bottom