Hodi hodi hodi mpaka ndani!

Hodi hodi hodi mpaka ndani!

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2011
Posts
11,498
Reaction score
3,390
Jama! Hbr ya majira haya! Hakika baada ya kuwa mperuzi kitambo sasa nimeamua kuwa ndani ya WanaJF! Naombeni kampani yenu na sina mengi zaidi ya kuwatakieni kazi njema ktk ujenzi wa Taifa le2 lenye uongozi legelege! Tuupo Pamojaaaa,A to Z!

karibu utoe ujinga na matongotongo

Mkuu sidhani kama umemtendea haki mgeni wetu. Siamini kama alikuwa na ujinga na matongotongo. Angeshindwa hata kujoin humu!

Mkuu sidhani kama umemtendea haki mgeni wetu. Siamini kama alikuwa na ujinga na matongotongo. Angeshindwa hata kujoin humu!

Yani nimefikiri la kumwambia nikakosa maana sheri naiheshimu sana. Ngoja nitakutana naye humu humu bila shaka.

Back
Top Bottom