hodi,hodi,hodi,hodi humu ndani hodii!!!!!!

mtokambali'z

New Member
Sep 9, 2011
2
0
kwa muda mrefu nimekuwa nikifatilia post zenu, zenye challenge za ukweliii,

nimeamua kujitupa ndani ya janvi hili kwani uvumilivu umenishinda nimeona nami nitoe mchango wangu wenye niaya kudai na kusimamia haki zetu zinazoendelea kuporwa na wenzetu walioshika mpini. pamoja sanaaa!!!
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom