Nimekuwa nikikereka sana na ndevu zilizojaa kidevuni na hata nikinyoa ni chini ya wiki moja zinajaa.
Yaani kila wiki lazima ninyoe na nisiponyoa unaweza kunikimbia.
Kibaya ni kwamba zinaota...
Habari zenu wakuu nilikuwa nahitaji msaada wenu mm nimeanza kufuga dread na kama week ya 3 hivi lakini sijawahi kutumia mafuta yeyote yale coz mimi nilisokota na sabuni 2.
Sasa leo ndo nimenunua...
Napenda sana meno meupe na yaliyopangika vizuri. Na kwa bahati nzuri nimejaaliwa kuwa na vyote viwili pasipo na msaada wa dental braces wala retainers. Na meno ya njano njano huwa yananichefua...
Wakuu mpo salama . nilikuwa nahitaji ushauri wenu nilikuwa nataka kufuga dreadlocks je kunakuwaga na mafuta ya kusokotea au hadi uende saloon na ukienda saloon inakuwaga ni bei gani kutengeneza...
Hii perfume ina harufu moja matata sana ikikukolea mwilini ni kama mvuta sigara, yaani hadi jasho lako linatoa harufu ya redrose
Naikumbuka sana kwa sababu kuna Dada mmoja nilikuwa nampenda sana...
Habari zenu wakuu.
Mara baada ya salama naomba niende moja kwa moja kwenye mada.
Kuna Binti moja mzuri sana kiumbo na kisura lakini huyu binti amefuga kucha ana kucha ndefu kweli kweli mpaka...
Habari wanajukwaa,
Mwenzenu sifurahii kabisa jinsi ngozi ya viganja vyangu vya mikono ilivyo kavu na ngumu, yaani hainivutii kabisa natamani ilainike.
Nilishauriwa zamani kutumia glycerine...
Km headline inavyojieleza. Tukianzia zile za kibongo bongo,za kina chibu hd ma-hismiyake. Upi ni uturi the best for you mdau?
Sent using Jamii Forums mobile app
hello warembo na watanashati,
Ni lotions gani za wadada ambazo ni maarufu ila hajizapigwa marufuku, sio fake na ni nzuri kwa viwango vyake, zenye bei ya kati 5,000-20,000.
Sio vibaya ukinitajia...
kama Unapokaa Au kwa rafiki zako Au jilani kuna ma sinki ya choo yaliyoshindikana kwa uchafu.. Kiboko yao ipo.
Tafuta dawa inaitwa NEW HARPIC nais haizid elfu 13. Kutokana na location uliyopo...
Dressing codes have a story to tell about you even before you speak. It creates an attraction wave to the people around you each second. Why dont you try this combination and walk out one day in...
Wakuu anae jua dawa ya meno ya ALOE VERA AirSun inapatikana wapi anijuze.
DONDOO:
Toka mfungo wa Ramadhani ulipoingia, nielienda kujumuhika na familia yangu kijijini japo sikuwa nimefunga...
Mm kiukwel sina style maalum
Yan najikuta nishakaa kwenye kiti kinyoz akiniuliza sina chakumjib
Ebu weken style zenu zakunyoa na majina yake aseeh ili na sisi tupendeze.
Sent using Jamii...
Kumekuwa na tatizo kubwa la nguo feki kuingia katika soko letu la nguo nchini na tujuzane njia mbalimbali za kugundua nguo hizo kwa u
rahisi iwe jeans,suruali za vitambaa n.k
Habarini nyote nawaletea salamu changamfu kabisa kutoka West Monroe, USA.
Wanaume wengi tunakumbana na changamoto ya kutokewa vipele tunaponyoa ndevu na viarufu flani hivi.
Kuna hizi bidhaa za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.