Habari zenu wana JF,
Naomba ushauri wenu nataka kununua body spray ya kiume lakini sijui ipi ni nzuri nataka body spray isiyo na harufu kali na inayokaa muda mrefu angalau masaa 7 na kuendelea...
Wakuu saalam nyingi kwenu poleni na majukumu ya kulijenga taifa na familia zenu.
Kijana mwenzenu nimekata shauri ya kuwa na mke hivo nimeanza mchakato wa kufunga ndoa. Ninaomba ushauri wa rangi...
Kwa mara ya kwanza kabisa tangu nakuwa mtu mzima najikuta nakojoa nikiwa nimekaa bila kugusana na uchi wa mwanamke, sio memba wa CHAPUTA ila sperm zilipita huku akili ikiwa imestuck na misuli ya...
Hello wakuu,
Leo nimekumbuka enzi za utoto wangu wanaume walikuwa wanabeba briefcase. Kwa wasiozijua naomba mzingatie picha. Wanaume walikuwa wanaenda na kurudi nazo kazini.
Najua hata sasa...
Wakuu Habarini.
Nna issue moja inanisumbua sana nimeona nije hapa nipate ufumbuzi.
Nina tatizo la kuota ndevu kwa haraka sana nadhani kuliko binadamu wa kawaida yoyote.
Bahati mbaya sana kazi...
Makuti ni majani ya minazi yanayopatikana katika mikoa ya kando ya bahari hasa katika nchi za kitropiki. Makuti husukwa viungo na viungo hufungwa kwenye miti au mbao za nyumba ili kuzuia jus na...
What makes you a man? Perhaps in every man lies this kind of sense, what makes him stand out from all the other men, the important things that add to your confidence, to your values and most...
Habari wakuu , natumaini tunaendelea vyema na majukumu ya kila siku .
Kama kichwa cha habari kinavyoonekana hapo juu ,nina shida ya nywele zangu kuwa na uweusi wenye rangi ya ugolo kwa mbali...
Kupendeza ni vile mtu unavyojipanga katika mavazi, na moja ya mavazi muhimu kwa ukanda huu wa Afrika ni vazi la kitenge ambapo naweza sema wanaafrika wamesahau kabisa vazi hili japo kidogo kwa...
Habari njema kwa wale mashabiki wa muziki wa lady jaydee pamoja na ma haters wote, kama inavyoonekana kwenye picha , kama hujui kusoma nitakusaidia ku translate maana wengine ata ku google hawajui...
Diana alikuwa binti mrembo sana mtaani kwao. Alishinda na bibi yake tangu akiwa mdogo, hii ilitokana na kuvunjika kwa ndoa ya wazazi wake na mama yake kurudi kwao Burma.
Vijana wengi...
Hivi mwanaume mzma una anzaje kuvaa suruali imekubana kama mwanamke jaman? Wengine wanavaa suruali zinabana mpaka vimatako vinachoreka kwa suruali halafu hawavai chupi.
Sasa umkute ana matako...
Navaa pamba kali na najua haswa kuvaa vitu vikali.
Napenda usafi wa mwili wangu mpaka mazingira yanayonizunguka.
Nnanukia perfume nzuri Gucci, Creed au Uomo.
Napenda kutumia vitu vyenye quality...
Habari zenu?
Mimi ni mdada mwenye rangi ya maji ya kunde, ngozi yangu ina mafuta sana. Nilikuwa nikitumia lotion ya Cocoa lakini nimepata shida ya vipele vingi sana usoni.
Sasa nimeshauriwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.