mheshimiwamtemi
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 291
- 224
Tujulisheni mavazi ya kuvaa wakati wa sendoff hususani kwa mwanaume.
Au zile za kuungia juhudi [emoji41][emoji41]Vaa kadeti shati la draft, hakikisha Kiatu, saa na mkanda ni vya bei kubwa.