Jamani hivi naomba tusaidiane kufikiri kwa sauti,kumekuw na wimbi kubwa sana kwa wadada kutengeneza shape zao aka "kuongeza makalio hips" naa kuwa weupe ,na watu maarufu na wasokuw maarufu...
Uvaaji wa mavazi mavazi mabaya kwa mabinti na akina mama pamoja na unywaji wa pombe ndio chanzo kikuu cha maambukizi ya UKIMWI.
Serikali haikuwa na haja ya kufanya kampeni ya uvaaji mipira na...
Siku hizi wanawake wetu wanashindana kubandika manywele ya bandia ili wawe na nywele ndefu zilizodondokea mgongoni...
But wapo watu, mimi nikiwemo huwa napenda kuona mwanamke akitoka na nywele...
Helo wenyewe,
Leo ni weekend ni siku ya usafi.kuna sayansi ya asili nilifundishwa na bibi yangu jinsi ya kujinyoa huko bila kuacha madhara kama mjuavo nyembe zimekuja miaka huii tu naomba idhini...
Kuna tabia ya wanawake na wadada kufunga vibaya minywele yao ya bandia inakera sana, mtu uko kwenye daladala afu ujui umeachia minywele mingine migumu mirasta ya buku inawasha na joto lenyewe la...
Kuna baadhi ya wanawake huwa wanatoka chicha tu wanaposukia nywele za bandia kichwani, infact huwa wanaonekana quite natural tu.
Sasa kuna wale ambao huwa wanazishonea hovyo hovyo kiasi kwamba...
Wadau,
Kwakweli nyinyi sijui mnaonaje?
Pale msichana anapovaa nguo za kiume na kuwa na muonekano wa kiume !
Mimi uwa nashangaa sana sijui ndo uzungu mwingi.
Jamani nakerwa na harufu ya madawa/mafuta anayotumia mpenzi wangu kwenye nywele zake ila ndo sina jinsi sasa maana nikimwambia anyoe nywele kichwa ndo tatizo tena.
Sasa wanaume wenzangu hili...
Kwa Muda sasa nimekuwa nikisoma hoja katika mijadala juu ya uvaaji usiofaa kama vile nguo fupi, nguo za kubana, mipasuo kupitiliza kuwa ni chanzo cha wanaume wengi kupungua kwa hamu ya tendo la...
Kwa tatizo lolote la Muonekano , Harufu, Usafi nk sasa ufumbuzi bora na salama umepatikana.
Karibu S&E BEAUTY SOLUTIONS upone kabisa Chunusi, Mba, Fangasi, Makovu, Vipele, Harufu mbaya mdomoni...
Habari ndugu wana JF,
Naombeni mwenye ujuzi au hata idea juu ya masuala ya modelling (uanamitindo ) anifungue macho na ikiwezekana connection zake maana napenda sana lakini sijui nitaanzia wapi...
JITENGENEZEE AJIRA HAPA.
Kampuni ya Edmark kutoka Malaysia inamakao makuu Masaki Dar es salaam Tanzania. Inajihusisha na uuzaji wa bidhaa za afya (food supplement) ambazo ni asili na...
Kwakweli aliyeweka kigezo cha urembo au kuwa handsame ni urefu aliwakosea watu wengi sana duniani isingelikuwa kigezo hiki ni matumaini mtu kama Lulu Michael angekuwa miss TZ leo.
Mbunifu wa Mavazi Amina Plummer Akitoa Mada kwenye Semiana ya Ujasiriamali kwa Wanawake wa Zanzibar yenye Lengo la Kuwafundisha Mbinu Mbalimbali za Biashara pamoja na Matumizi Sahihi ya Vipodozi...
Wasalaam wandugu?
Nina matatizo ya scars na chunusi kwenye uso wangu. Kuna mtu aliwahi nishauri jinsi ya kutumia Bio Oil. Nimenunua lakini sielewi jinsi ya kuitumia.
Naimani humu kuna ambao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.